Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 22 Agosti 2024
Published 1 year, 10 months ago
Description
Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.