Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 16 Agosti 2024
Published 1 year, 10 months ago
Description
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.