Episode Details
Back to EpisodesNzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"
Published 1 year, 10 months ago
Description
Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.