Episode Details
Back to EpisodesSababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu
Published 1 year, 10 months ago
Description
Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.