Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 9 Agosti 2024
Published 1 year, 11 months ago
Description
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.