Episode Details
Back to EpisodesWasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand
Published 2 years, 1 month ago
Description
Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.