Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 22 Machi 2024
Published 2 years, 3 months ago
Description
Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema uchumi utafaidi kupitia makubaliano yakupiga jeki uzalishaji wa manowari yanayo tumia nishati ya nyuklia ya Uingereza kama sehemu ya mkataba wa AUKUS.