Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 1 Februari 2024
Published 2 years, 5 months ago
Description
Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu kwa muda mrefu.