Episode Details
Back to EpisodesWazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?
Published 2 years, 5 months ago
Description
Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.