Episode Details
Back to EpisodesMwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
Published 2 years, 5 months ago
Description
Msimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.