Episode Details
Back to EpisodesKanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko
Published 2 years, 6 months ago
Description
Kiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye thamani ya miezi kadhaa.