Episode Details
Back to EpisodesMamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland
Published 2 years, 6 months ago
Description
Mamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.