Episode Details
Back to EpisodesDavi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"
Published 2 years, 6 months ago
Description
Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.