Episode Details
Back to EpisodesHezron "watu wengi wamepata makaazi, ajira na huduma nyingi kupitia Kokwet"
Published 2 years, 7 months ago
Description
Viongozi wa jumuiya ya Kokwet wali wa andalia wanachama wao hafla maalum, ambako walichangia vyakula, walifanya maonesho ya mitindo nakumaliza sherehe kwa miziki ya asili yao.