Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 4 Disemba 2023
Published 2 years, 7 months ago
Description
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amelaani anacho elezea kuwa ongezeko la mashambulizi dhidi ya wayahudi nchini Australia, tangu mwanzo wa mapigano mapya kati ya Israel na Hamas.