Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 28 Novemba 2023
Published 2 years, 7 months ago
Description
Upinzani wa shirikisho unaendelea kuikosoa serikali baada ya hukumu ya mahakama kuu, kuamuru kuwa kuweka watu ndani ya vizuizi vya uhamiaji kwa muda usiojulikana nchini Australia ni kinyume cha sheria.