Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 24 Oktoba 2023
Published 2 years, 8 months ago
Description
Wa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.