Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 1 Oktoba 2023
Published 3 years ago
Description
Seneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ulemavu.