Episode Details
Back to EpisodesDkt Annefrida "Spika Ackson ameshindwa kusimamia demokrasia ndani ya bunge"
Published 2 years, 11 months ago
Description
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji wake baada ya mamlaka za nchi hiyo kuwakamata watu wanaopinga mkataba wa uendeshaji bandari.