Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 29 Julai 2023
Published 2 years, 11 months ago
Description
Juhudi zakutafuta nakuokoa zina endelea kwa wanahewa wanne walio kuwa ndani ya helikopta ya jeshi la ulinzi la Australia, lililo anguka ndani ya bahari karibu ya kisiwa cha Hamilton usiku wakuamkia leo.