Podcast Episodes
Back to SearchAfrica : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI
Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ?
Skiza makala haya
5 hours ago
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani
Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI.
Skiza makala
1 week ago
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake b…
2 weeks, 1 day ago
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni
Nc…
3 weeks, 2 days ago
Kenya : Raia wa Burundi waondoka
Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi…
1 month ago
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi
Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi.
Skiza makala haya kufaha…
1 month, 2 weeks ago
DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini
Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC.
Skiza makala haya kufahamu mengi.
1 month, 3 weeks ago
Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni
Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, m…
2 months, 2 weeks ago
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya
Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan …
2 months, 2 weeks ago
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki
Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata.
Kwenye makala haya tunaangazia m…
3 months ago