Podcast Episodes
Back to SearchMchakato wa uchaguzi mkuu wa mei 2027 nchini Burundi
Nchi nyingi zinajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa urais mwaka ujao; makala hii inaangazia mchakato wa uchaguzi unavyoendelea nchini Burundi, ambapo hivi k…
2 days, 22 hours ago
Umoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia
Kuanzia mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza kumalizika rasmi kwa shughuli zake za kisiasa na msaada nchini Somalia …
1 week, 2 days ago
Fursa ya maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania baada ya hukumu ya Tundu Lissu
Novemba tarehe 6, Mahakama Kuu jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ilimhukumu miaka minne jela Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Liss…
2 weeks, 2 days ago
Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya
Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Ka…
3 weeks, 2 days ago
Uganda: Mazungumzo kuhusu hatima ya Kizza Besigye
Waziri wa masuala ya Katiba nchini Uganda Norbert Mao, ametangaza kuwepo kwa mazungumzo ili kupata ufumbuzi wa kuendelea kuzuiwa kwa mwanasiasa mkon…
4 weeks, 2 days ago
DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi
Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa…
1 month, 1 week ago
Hali ya siasa nchini Kenya mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga
Ni mwaka mmoja, tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani Raila Odinga. Kufariki kwake dunia, tarehe 15 mwe…
1 month, 1 week ago
Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia
Tangu tarehe 23 Septemba, mapigano mapya yameendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa Ethiopia, kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa Tigray. Nini ki…
1 month, 2 weeks ago
Suluhu ya njiapanda ya kisiasa nchini Sudan Kusini
Sudan Sudan inakabiliwa na mzozo wa kikatiba na kisiasa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza, uliopangwa kufanyika tarehe 22 mwezi Disemba mwaka huu. Ra…
1 month, 4 weeks ago
Kenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ?
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo…
2 months ago