Podcast Episodes
Back to Search
Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"
Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.
9 hours ago
Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako
Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa ha…
9 hours ago
Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberra
Waziri Mkuu Anthony Albanese ame eleza mkutano wa wanasiasa na viongozi wa jamii za tamaduni mbalimbali kuwa, karibu wanawake wahamiaji na wakimbizi …
10 hours ago
SBS Learn Eng Ep 120 Jinsi yakuzungumza kuhusu kuhudhuria harusi
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuhudhuria harusi katika Kiingereza?
10 hours ago
Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliwa na changamoto katika juhudi za kudhibiti Ebola, baada ya chama cha wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nc…
10 hours ago
Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945
Wito wa kupunguzwa kwa kodi unaongezeka baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha wapiga kura wengi wanataka serikali ifanye mengi zaidi kusaidia wapanga…
1 day, 11 hours ago
How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.
How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea…
3 days, 2 hours ago
Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia
Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitang…
3 days, 12 hours ago
Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia
Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi …
3 days, 12 hours ago
Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia
If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private h…
4 days, 9 hours ago